LATEST ARTICLES

DKT. Kissui Awataka Watanzania Kuota Ndoto Kubwa za Mafanikio

Watanzania wametakiwa kuota ndoto kubwa badala ya ndogo ili kupata mafanikio makubwa katika maisha. Kauli hiyo ilitolewa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mtandao...

Tamko la Waziri Mwigulu kifo cha Mwanafunzi NIT

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dk. Mwigulu Nchemba amemuagiza mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro na timu yake kufanya...

PROF. Mbarawa Awaonya TBA

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa, ameuagiza Wakala wa Majengo (TBA), kuhakikisha wanakamilisha ujenzi wa miradi yote waliyopewa na Serikali kwa...

TRA Kuwachukulia Hatua Kali Wafanyabiashara Wanaojihusisha na Biashara za Magendo

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inatoa onyo kali kwa wafanyabiashara wote wanaojihusisha na Biashara za Magendo na aina mbalimbali za ukwepaji kodi kupitia Viwanja...

Tanzania yapata tuzo ya teknolojia

SIKU chache baada ya Tanzania kunyakua tuzo za kimataifa za Uchumi Jumuishi na Utawala Bora, imepata tuzo nyingine mpya ya kimataifa iliyotokana na kuwa...

Rais Fifa kuteta na JPM

RAIS John Magufuli anatarajiwa kufanya mazungumzo na Rais wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), Gianni Infantino, atakapowasili nchini Februari 21 mwaka huu. Viongozi wa...

Kigwangalla: Sing’oki kwa rushwa ya vitalu

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dk Hamisi Kigwangalla amesema hatatoka katika wizara hiyo kwa tuhuma za rushwa ya ugawaji vitalu, kama ilivyowahi kutokea kwa...

Trafiki arekodiwa akipewa rushwa 5,000/-, atimuliwa

ASKARI wa Kikosi cha Usalama Barabarani, ambaye video yake ilisambaa kwenye mitandao ya kijamii jana ikimwonyesha akipokea rushwa ya Sh. 5,000, amefukuzwa kazi kwa...

Waziri Mkuu Ethiopia ajiuzulu

WAZIRI Mkuu wa Ethiopia, Hailemariam Desalegn amejizulu. Mwanasiasa huyo pia amejiuzulu uenyekiti wa chama cha People's Revolutionary Democratic Front (EPRDF). Hailemariam jana amewasilisha barua ya...

Marekani yataka upelelezi wazi mauaji kada Chadema

UBALOZI wa Marekani jijini Dar es salaam umetaka kufanyika kwa uchunguzi ulio wazi wa tuhuma za kutekwa na kisha kuuawa kwa kada wa Chama...

Ramaphosa rasmi rais Afrika Kusini

Cyril Ramaphosa amechaguliwa na Bunge la Afrika Kusini kuwa Rais wa nchi hiyo baada ya Jacob Zuma kujiuzulu jana. Zuma alikuwa chini ya shinikizo kali...

Wananchi Watakiwa Kuchukua Tahadhari Dhidi Ya Mvua Za Wastani Na Za Masika

Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA) imesema mwanzoni mwa mwezi machi hadi mei mwaka huu, mvua za wastani na za masika zinatarajiwa kunyesha. Hayo...

Madiwani wamkataa Mkurugenzi mbele ya Waziri Mkuu

MADIWANI wa Halmashauri ya Buchosa wilayani Sengerema wamemuomba Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aondoke naMkurugenzi wa Halmashauri hiyo, Bw. Cyprian Luanda baada ya kutoridhishwa na utendaji wake. Wametoa...