SHARE

Kundi LA watu wanaosemekana kuwa ni wafuasi wa Profesa ibrahimu Haruna Lipumba limevamia mkutano wa wafuasi wa maalim seif na wanahabari wakiwa na mapanga pamoja na silaha za moto {bastola} katika hotel Ia Vinna iliyopo mburahati jijini Dar es Salaam muda huu na kufanya vurugu.

Inasemekana kuwa mmoja kati ya hao wavamizi amedakwa na raia na kupigwa sana.

 


LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here