SHARE

Taarifa Za kuhuzunisha kutoka Kwa Jamaa z waliopo Hospitali ya Muhimbili Muda huu zinadai Kuwa Msanii Dogo Mfaume ameaga dunia Mchana wa Leo.

Dogo Mfaume Amewahi kutamba na nyimbo za kazi yangu ya dukani, hereni ambazo aliziimba katika Staili ya Mchiriku na Mnanda.

Alifikishwa katika Hospitali hiyo siku kadhaa zilizopita akitokea Back 2 Life Sober House Kigamboni ambako Alikua anaishi, Kabla ya umauti wake alikua anasumbuliwa na uvimbe kwenye ubongo, Hali iliyomsababishia kupungua Kwa uwezo wa kuongea, na maradhi mengine, na ilikua afanyiwe upasuaji Ijumaa ya Kesho kutwa.


LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here