SHARE

Kupitia ukurasa wake wa Instagram msanii Diamond Platnumz amepost picha ikimuonesha Zari akiwa kwenye ‘swimming pool’ na mwanaume mwingine na kuandika yafuatayo.

Ndio maana wakati mwingine naonaga bora tu nile na kusepa, maana hawathaminikagi wala kuaminika hawa, Ameandika Diamond kwenye ukurasa wake wa Instagram

Kwa upande wake Zari amepost picha akijitetea kuwa hiyo picha ilipigwa na mke wa huyo jamaa, na ni mjomba wa watoto wake, na kuwataka wawapuuze wanao sambaza taarifa za uongo

Photo credit was by his wife. He is my kids’ uncle, the late’s cousin And I happened to meet them at a spa. When you are that IT loyal gal, someone will always find fault when it’s not there just to cover and turn around stories of all the dirty they do behind you back.


LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here