SHARE

Mchekeshaji wa kike anayekuja kwa kasi kutoka Timamu Media Ebitoke ambaye hivi karibuni aliweka hisia zake za kimapenzi wazi juu ya mwimbaji mahiri Ben Pol.

Msanii huyo amefunguka yanayoendelea kati yake na Ben Pol, ikiwemo kuanza kuchat, kupigiana simu.

Pia amefunguka mengi kuhusu matarajio yake na staa huyo, tafadhali tazama video hapo chini.


LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here