SHARE

Mapacha wa Beyonce na Jay Z wanadaiwa kuzaliwa kabla ya wakati, kwa mujibu wa vyanzo vilivyozungumza na TMZ. Mtandao huo umesema watoto hao wapo ‘under the lights.’

Aidha mtandao huo umesema Beyonce hakufikisha muda kamili wa kujifungua na kwamba hadi sasa bado yupo hospitali. Mapacha hao wanadaiwa kuwa ni wa kike na wa kiume. Bado JAY-Z na Beyonce hawajasema chochote kuhusiana na ujio wa watoto wao.


LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here