SHARE

Wafanyakazi wa TIB Group (TIB Development Bank Ltd, TIB Corporate Bank na TIB Rasilimali Ltd) wakiwa tayari kutoa huduma kwenye viwanja vya Maonyesho – Saba Saba.
Mkurugeni mtendaji wa kampuni ya Global Packaging Ndg Joseph Wasonga(wa pili kulia) akiwapa maelezo wakurugenzi wa TIB juu ya bidhaa zinazotengenezwa na kampuni hiyo. Wa kwanza kushoto ndugu Frank Nyabundege Mkurugenzi mkuu wa wa TIB Corporate Bank . Wa pili kushoto Charles Singili –Mkurugenzi Mkuu wa TIB Development Bank na wa mwisho kulia ni Bi Theresia Soka mkuu wa kitengo cha masoko – TIB Corporate Bank Ltd. Kiwanda cha Global Packaging ni miongoni mwa wateja ambao wamenufaika na mikopo inayotolewa na benki ya TIB. Kiwanda hiki ni miongoni mwa viwanda vya kisasa ambavyo vinazalisha vifungashio mbali mbali.
Wafanya kazi wa TIB Corporate Bank Ltd katika picha ya pamoja, wakiwa taya ri kuwahudumia wananchi mbalimbali watakao tembelea banda lao katika maonyesho hayo

 

 


LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here