SHARE

Winga wa zamani wa vilabu vya Simba na Yanga,Kigi Makasi amejiunga na Singida United kwa mkataba wa miaka miwili.
Kigi amejiunga na Singida United akiwa mchezaji huru baada ya mkataba wake na Ndanda FC ya Mtwara aliyoichezea msimu uliopita kuisha.
Wakati huo huo Singida United imetangaza kufunga usajili wake mara baada ya kunasa wachezaji ishirini na tano (25) iliyokuwa ikiwahitaji tayari kwa msimu ujao wa ligi kuu bara.
Taarifa iliyotolewa na Mkurungezi wa Singida United,Alex Sanga imesema wachezaji walioipandisha timu ligi kuu wanabaki nane (8) huku ikifanikiwa kusajili wachezaji 17 walisajiliwa wapya Kati ya hao 17 wachezaji saba 7 wanatoka nje ya Tanzania na kumi 10 wanatoka ndani
Wachezaji saba kutoka nje
1-Elisha Muroiwa(Zimbabwe)
2-Twafadzwa Kutinyu (Zimbabwe)
3-Simbarashe Nhivi (Zimbabwe)
4-Wisdom Mtasa (Zimbabwe)
5-Shafik Batambuze(Uganda)
6-Dany Usengimana(Polisi-Rwanda)
7-Michel Rusheshangoga (APR-Rwanda)
Wapya kutoka Ndani
1-Atupele Green (Jk Ruvu)
2-Miraj Adam (Africa Lyion)
3-Kenny Ally (Mbeya City)
4-Roland Msonjo(Mshikamano FC)
5-Pastory Athans (Simba)
7-Deus Kaseke(Yanga)
8-Ally Mustapha (Yanga)
9-Salum Chuku (Toto Africa)
10-Kigi Makasi (Ndanda FC).

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here