SHARE

Jambo ambalo si kawaida kwa mama mzazi kuweza kumtembeza mtoto mchanga na kumtoa nje ya nyumba bila siku arobaini kutimia lakini hili limekuwa ni tofauti na walivyo mabinti wengi wa mitandaoni siku hizi.

kwasababu ya utandawazi umekuwa kwa kasi sana kichanga hakija fikisha hata siku 7(wiki moja) kinaanza kutembezwa kwenye mitaa,hili nimeliona kwa mrembo Faiza Ally ambaye wiki iliyopita alijifungua mtoto wa baba mwengine mbali yule ambaye alizaa na mbunge Sugu.

 


LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here