SHARE

KWA MUJIBU WA SHERIA YA BARABARA (ROADS ACT) 2007 TANROADS WANAYO MAMLAKA YA KUKAMATA NA KUADHIBU KWA:

(a) KUZIDISHA MWENDOKASI
(b) KUEGESHA GARI SEHEMU ISIYO SAHIHI

Sheria ya barabara ya mwaka 2007 na kanuni zake za mwaka 2009 inawapa TANROADS uwezo wa kukamata gari au mtu yeyote anayeharibu barabara na kumlipisha faini.
TANROADS wanaweza kukukamata kwa kuzidisha mwendokasi {overspeed}, kuegesha gari sehemu isiyoruhusiwa, kutiririsha mafuta, au kingine chochote kwenye sheria yao. Na wao hawaingiliani na polisi, sana sana polisi wanaweza kukukabidhi TANROADS.

SHERIA YA BARABARA inawapa TANROADS mamlaka ya kukutoza faini ya shilingi 200,000 kwa kosa la kuzidisha mwendo(section 32 (1) & 3) ); 200,000 kwa wrong parking (Kanuni ya 56).
kuzidisha mwendokasi {over speed } kwa sasa ina fine 3 kwa pamoja. Kosa moja unalipia Kama ifuatavyo:

1. Traffic 30,000
2. Sumatra 80,000
3. Tan road 90,000
Jumla laki 200,000.

#Mtembezi


LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here