SHARE

Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam DCP Lucas Mkondya ameeleza jeshi la polisi lilivyofanikiwa kuwakamata vinara wa wizi kwa kutumia pikipiki.

Huku akitangaza msako kwa wale wanaonunua vitu vya wizi na kueleza kuwa vinara hao wamewataja wanaowauzia hivyo jeshi la polisi litachukua hatua na kufanya msaako maalum.

 


LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here