SHARE

Saa chache baada ya Posti ya msanii AliKiba kutweet tweet ambayo inatajwa inamuhusu hasimu wake Diamond Platnumz, ndipo upande wa pili ukajibu mashambulizi kwa kuachia audio yenye Verse 1 kwa kupitia beat ya wimbo ule ule wa Fresh, ambapo ndani yake kamhusisha Kiba na Ommy Dimpoz.

OMMY DIMPOZ AMJIB DIAMOND

Dimpoz baada ya kuusikia wimbo huo, akaamua kuliamsha dude, ambalo ndiyo linazizima mpaka sasa, huku mashabiki wakiwa na shauku ya kutaka kujua upande wa pili utafanya nini.

kiba na dimpoz


LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here