SHARE

Msimu mpya wa ligi ya Vodacom unaanza leo muda mfupi ujao kwa timu ya Simba kucheza na Ruvu Shooting katika mchezo wa ufunguzi utakaopigwa uwanja wa Taifa Dar
Kikosi cha Simba kinashuka dimbani saa 10 alasiri kuikabili Ruvu Shooting, ukiwa ni mchezo wa kwanza wa ufungizi wa msimu mpya wa Ligi ya Vodacom Tanzania Bara.
ambapo Simba ikiwa la taji la ngao ya jamii iliyoipata kwa kuifunga yanga jumatano ya wiki iliyopita kwa chamamoto ya mikwaju ya penati.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here