SHARE

Sifa halisi za mwanamke wa kweli.

1. Ni nguvu ya mwanaume
2. Ni jasiri
3. Mchapakazi
4. Mwenye kujiamini
5. Tegemeo la familia
6. Mwalimu wa watoto na familia yake kiujumla
7. Mlinzi wa mwanaume


8. Chanzo cha baraka ya familia
9. Adui wa maadui wa familia
10. Sauti ya familia
11. Mponyaji wa familia yake na taifa
12. Mlezi wa huduma
13. Mkombozi wa familia na taifa
14. Msaidizi wa Mungu tumfanyie msaidizi wa kufanana naye
15. Mwombezi wa familia,huduma na taifa
16. Mficha siri wa Mungu


LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here