SHARE

Mwanamke bora humtambulisha Mume wake mlangoni, Mwanamke ni pazia ya nyumba,
1. Pazia husitiri mambo ya ndani
2. Pazia hupendezesha nyumba
3. Pazia mlinzi wa nyumba
4. Pazia huthaminisha nyumba
5. Pazia hutambulisha wakaao ndani ya nyumba
6. Mwanamke ni pazia ya Mume
7. Ndiye anayempendezesha Mume
8. Mlinzi wa Mume
9. Ndiye anaye mthaminisha Mume
10. Andiye anaye mtambulisha Mume
11. Kioo cha Mume
12. Mwanamke ni pambo la Mwanaume, kama nyumba ikikosa pazia ni rahisi maadui kutambua vilivyomo ndani na kuvamia, ikikosa pazia hukaribisha maadui, Mwanamke ni pazia la nyumba ndiyo anayemtambulisha Mwanaume hata kama huyo Mwanaume ni mjinga Mwanmke anauwezo mkubwa wa kumuheshimisha Mwanaume mbele za watu, Mwanamke ndio mlinzi wa Mwanaume. Mwanamke anayejua wajibu wake hawezi kuibiwa Mume hata siku moja
“Sifa ya Mwanaume ni Mwanamke aliye naye na unaweza kujua undani wa mwanamume yule kwa kumtazama mkewe.

jnugaz@gmail.com kwa lolote kuhusu makala hizi.


LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here