SHARE

Mwanamke bora amejaa hekima kinyuani mwake na hekima ni kiongozi mzuri sana katika maisha, ni mlinzi, hekima ni mtawala, hekima ni utajiri, hekima ni heshima.

1. Mwanamke mwenye hekima hashindwi kuuitawala nyumba yake.
2. Mwanamke mwenye hekima hatishwi na watu na maneno yao.
3. Mwanamke mwenye hekima ni malkia wa nyumba yake
4. Mwanamke mwenye hekima ni mkombozi wa familia yake
5. Mwanamke mwenye hekima ni muamuzi wa haki katika familia yake
6. Mwanamke mwenye hekima ni mdhibiti wa maovu katika famila yake
7. Mwanamke mwenye hekima ni mponyaji wa famila
8. Mwanamke mwenye hekima huondoa hasira kwa Mume wake.
9. Mwanamke mwenye hekima ni wa kujivunia
10. Mwanamke mwenye hekima ni mponyaji wa ndoa yake

Huyu ndiye Mwanamke anaye tafutwa katika maisha yetu rafiki wa wote huyu ndiye Mwanamke anayehitajika katika maisha.


LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here