SHARE

Chelsea wamefanikiwa kupata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Leicester City leo kwenye mchezo wa ligi kuu ya England mchezo ambao ulipigwa kwenye uwanja wa King Power.

Alvaro Morata alifunga dakika ya 41 na ng’olo Kante dakika ya 50, wakati bao la Leicester limefungwa na Jamie Vardy dakika ya 62.

Hivyo kuipelekea Chelsea kupata ushindi ambae umewapa alama tatu muhimu kwenye mzunguko wa awali.

Alvaro Morata and N'Golo Kante got the Chelsea goals in a 2-1 win over Leicester City at the King Power Stadium on Saturday

Morata fired Chelsea ahead just before half time with a header from a Cesar Azpilicueta cross to finish off a 14-pass move

The Spaniard has now scored three goals in four Premier League appearances and he celebrated like a man full of confidence

French midfielder Kante doubled Chelsea's lead with a long-range effort against his former club shortly after the interval

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here