SHARE

Malkia wa Filamu za Bongo, Wema Sepetu amenaswa LIVE akiwa na mwanamme anayedaiwa kuwa ni bwana wake mpya. Wawili hao wamenaswa wakijiachia tena mchana kweupe peee huku Wema akijibebisha kwenye kifua cha jamaa huyo!

Anasikika Wema akitema madongo kumponda mpenzi wake wa zamani ambaye ni msanii wa Bongo Fleva, kwamba alishamshauri aiboreshe perfume hiyo kama anataka iwe na viwango lakini mwenyewe akamwambia kwamba anataka aiuze kwa watu wa daraja la chini na kati.


LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here