SHARE

Washambuliaji wawili wa Tottenham, Dele Alli na Harry Kane wameingia kwenye mpango kabambe wa Real Madrid ambapo timu hiyo ya Hispania sasa inataka kuwasajili kwa mpigo.

Real Madrid wamerudisha mpango huo wa usajili kwa fedha ndefu, baada ya kuachana na mbio za kumsajili Klyian Mbappe msimu uliopita wa usajili wakati wa kiangazi baada ya kutimkia PSG.

Wiki iliyopita Rais wa klabu hiyo ya Hispania, alisisitiza kwamba fedha ya kufanya usajili ipo na kubariki jambo hilo litelelezwe iwapo watafikia makubaliano na uongozi wa klabu hiyo ya Uingereza.


LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here