SHARE

Msanii wa muziki Bongo, Diamond ameibuka mshindi baada ya kunyakuwa tuzo ya Afrimma katika kipengele cha Best Artist of The Year.

Tuzo hizo ambazo zimetolewa usiku wa kuamkia leo Taxes nchini Marekani, Diamond amewashinda wasanii kadhaa wakubwa wa Afrika kama Davido na Wizkid ambao walikuwa wakiwania tuzo hiyo katika kipengele kimoja kama inayonekana hapa chini;

Artist of The Year

Flavour (Nigeria)
Diamond Platnumz ( Tanzania)
Fally Ipupa- Congo
Wizkid (Nigeria)
Cassper Nyovest (South Africa)
Davido – (Nigeria)
Eddy Kenzo – Uganda
Tekno – Nigeria
Mr Eazi – Nigeria
C4 Pedro – Angola


LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here