SHARE

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ameagiza wagombea wote wa udiwani wajitoe kwenye uchaguzi wa kata tano Arumeru Mashariki, mawakala na viongozi wote watoke vituoni.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumapili alisema tayari amewasiliana pia na Tume ya Uchaguzi kwa kuwa Arumeru sio uchaguzi ni vurugu watu wanatekwa kama Mbunge wa Babati Mjini, Paulina Gekul hadi sasa ametekwa na hajulikani alipo.

Kutokana na hali hiyo Mbowe ametaka Tume ya Uchaguzi kuitisha uchaguzi mpya.


LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here