SHARE

Muigizaji wa filamu bongo ambaye sasa anajihusisha zaidi na ujasiriamali, Jackline Wolper, amesema anapenda wanaume wenye maumbile madogo kwani yeye mwenyewe maumbile yake ni madogo.

Akizungumza kwenye kipindi cha Friday Night Live Jackline Wolper amesema hana sababu ya kupenda au kusifia wanaume wenye maumbile makubwa wakati yeye maumbile yake ni madogo.

“Actualy siwezi kusema nachukuliaje wanaume wenye maumbile madogo, na ndio nawapenda pia, kwa sababu mimi mwenyewe mdogo, nitapendaje vitu vikubwa ambavyo siwezi kuvihimili? Unajua mwanamke anayesema mwanaume mashine namshangaa, mwanaume pesa bwana, mwanamke ambaye anajua maisha, hawezi kusema mwanaume mashine, mimi mwenyewe siwezi kusifia mashine”, amesema Wolper.

Pamoja na hayo Jackline Wolpler amesema kwa sasa hataki kujihusisha sana na masuala ya mahusiano, kwani amezipa kipaumbele kazi zake tu.


LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here