SHARE

RAIS Mstaafu wa awamu ya pili, Mzee Ali Hassan Mwinyi leo Desemba 5, 2017 amemtembelea Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema) na Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika, Tundu Lissu katika Hospitali ya Nairobi anakotibiwa baada kushambuliwa kwa risasi nyumbani kwake Area D, Mjini Dodoma.


LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here