SHARE
President Barack Obama and Democratic Presidential nominee Hillary Clinton wave to delegates after President Obama's speech during the third day of the Democratic National Convention in Philadelphia , Wednesday, July 27, 2016. (AP Photo/J. Scott Applewhite) DNC207

RAIS mstaafu wa Marekani, Barack Obama na aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya chama cha Democrat, Hillary Clinton, ndio watu wawili wanaoongoza kwa kupendwa zaidi na Wamarekani.

Utafiti mpya uliofanywa na kampuni ya Gallup, unaonesha kwamba, wawili hao wameendelea kushikilia taji hilo kwa miaka kumi mfululizo, licha ya kwamba umaarufu wao umepungua kwa kiasi, ikilinganishwa na miaka iliyopita.

President Barack Obama and Democratic Presidential nominee Hillary Clinton wave to delegates after President Obama’s speech during the third day of the Democratic National Convention in Philadelphia , Wednesday, July 27, 2016. (AP Photo/J. Scott Applewhite) DNC207

Asilimia 17 ya waliohojiwa walisema Obama ndiye kiongozi anayependwa sana akilinganishwa na Rais Donald Trump aliyechukua nafasi ya pili akiwa na asilimia 14. Clinton, ambaye kwa wakati mmoja alikuwa waziri wa mambo ya nje, alimshinda mkewe Obama, Michelle. Clinton alikuwa na asilimia tisa huku Michelle akiwa na asilimia saba.


LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here