SHARE

Mchekeshaji kutoka Bongo, Mc Pilipili ameibuka mshindi wa Scream Awards za nchini Nigeria.

Mc Pilipili ameshinda katika kipengele cha Youth Comedian of the Year ambapo walikuwa wakiwania na wachekeshaji 12 kutoka nchi tofauti za Afrika.

Waliokuwa katika kipengele hicho ni Kenny Blaq, Emma Oh My God, Arole & Asiri, Funny Bone, Calabar Chic, Josh 2 Funny, Kalybos, Lasisi Elenu, Klinton Cod, Nedu wote kutoka Nigeria na Slkomedy (Ghana).


LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here