SHARE

Kama Simba watavuka dhidi ya Gendamerie ya Djibouti basi watakutana na Al Masry ya Misri au Green Buffaloes ya Zambia.

Lakini inaonekana dalili wakivuka watakutana na mafalao hao ambao tayari wameibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Buffaloes.

Al Masry tayari wameonyesha hawataki utani katika michuano hiyo ya kimataifa baada ya kushinda mabao 4-0.

Soka hakuna kisichowezekana lakini Wazambia hao wana mlima wa kupanda ili kuingia katika hatua inayofuata.


LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here