SHARE

Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis amewaambiwa watawa kutumia mitandao ya kijamii kwa tahadhari.

Waraka huo umetaja mawasiliano ya mitandao ya kijamii, badala ya kusema application husika, lakini Gazeti la kikatoliki application hizo umemaanisha Facebook na twitter.

Amri ya watawa kaskazini mwa Spain ilisambaa na kuwa kwenye vichwa vya habari kwenye mitandao ya kijamii mwezi uliopita kuzungumzia Kesi iliyokuwa na mkanganyiko mjini Pamplona iliyoeleza kundi la wanaume waliokuwa wakishutumiwa kubaka ambapo watu walidai kuwa hukumu haikuwa kali dhidi ya wanaume hao.

Katika ukurasa wao wa Facebook, watawa wa Hondarribia walimtetea mwathirika wa ubakaji kwa kuelezea maamuzi yao huru ya kuishi maisha ya utawa, ya kutokunywa pombe au kutembea nyakati za usiku

”kwa kuwa ni uamuzi huru, tutatetea kwa namna yeyote tutakayoweza.Haki ya wanawake kuwa huru kutenda kinyume bila kuhukumiwa,kubakwa, kutishiwa au kudhalilishwa kutokana na makosa yake.


LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here