Raia 13 wameuawa huko Yemen

Raia 13 wa Yemen wameuawa jana katika mashambulizi yaliyofanywa na ndege za kivita za utawala wa Saudi Arabia katika mkoa wa Maarib katikati mwa...

Rayvanny awabwaga WizKid, Davido tuzo za African Act

Mmoja wa wasanii wanaounda lebo ya Wasafi (WCB), Raymond Shaban maarufu Rayvanny ametwaa tuzo ya African Act of The Year zinazotolewa na Uganda Entertainment...

Mahita – Hamna kazi ngumu kwa jeshi la polisi kama kudili na wanasiasa

Mkuu wa Jeshi la Polisi mstaafu Omari Mahita amefunguka na kusema katika changamoto kubwa ambayo inalikbali jeshi la polisi Tanzania kwa sasa ni namna...

Ibrahim Ajib aipa raha Yanga

Mshambiliaji wa mabingwa watetetezi wa ligi kuu Tanzania bara Ibrahim Ajibu jana ameipa furaha Yanga baada ya kufunga bao pekee lililoipa timu hiyo pointi...

Gwajima alaani Lissu kupigwa risasi

Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesema hatasita kukemea uhalifu nchini likiwemo tukio la kupigwa risasi Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu...

UVCCM: Lissu si wa kwanza kupigwa risasi

Uongozi wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), umesema mwanasheria wa Chadema, Tundu Lissu si kiongozi wa kwanza kupigwa risasi, hivyo vyombo...

Zitto awavaa tena waliompiga risasi Lissu

Mbunge wa Kigoma Mjini kwa tiketi ya Chama Cha ACT Wazalendo, Mhe. Zitto Kabwe amefunguka na kusema hawezi kuwapa muda watu ambao wamekuwa wakitumwa...

Damu ya Baba sehemu ya 60

SEHEMU YA 60. Mama alikuwa ameanza kuteswa na mizimu mitatu mida ya usiku,alipo enda chooni aliukuta mzimu wa mama danieli unalia.Na sebreni aliukuta mzimu wa...

Unatamani mwanamke uliyenae avutike kwa mapenzi mfanyie haya

Andaa mazingira Andaa mazingira ya kuamsha hisia zake, fanya kitu kitakachowasogeza karibu na kuamsha hisia zake Kwenye akili yake kabla ya kugusa mwili. Mfano, weka...

Kaburi la halaiki la maiti 110 lagunduliwa katikati mwa Burundi

Mkuu wa Kamisheni ya kubaini ukweli na Maridhiano ya Kitaifa nchini Burundi, ameelezea habari ya kugunduliwa kaburi la halaiki lililozikwa ndani yake watu 110...

PSG sasa wanatamba na MCN

Katika usajili ambao umeitikisa dunia ya soka kwa kuwa na thamani kubwa zaidi duniani ni uhamisho wa Neymar kutoka Bercelona kwenda PSG. PSG ilimsajili Neymar...

Yohana Oscar Nkomola amefuzu majaribio kwenye klabu ya Esperance ya Tunisia

Mshambuliaji chipukizi wa Tanzania, Yohana Oscar Nkomola amefuzu majaribio katika klabu ya Esperance ya Tunisia na sasa anatarajiwa kusaini mkataba. Akizungumza mjini Dar es Salaam...

Moni afunguka kinachoendelea kati yake na Roma

Rapa Moni Centrozone amefunguka kwa mara nyingine tena na kudai hawezi kumuonea wivu Roma Mkatoliki kuhusiana na wimbo wake wa Zimbabwe ila wananchi ndiyo...