Mambo 10 yaliyompa cheo kinara makinikia

ALIYEKUWA mwenyekiti wa kamati teule ya kwanza ya Rais iliyofichua upotevu mkubwa wa mapato katika usafirishaji wa mchanga wa madini (makinikia) kwenda nje ya...

Baba Diamond amwaga mchele sakata la Diamond kuzaa na Hamisa Mobeto

Baba Mzazi wa Msanii Diamond Platinum, Abdul Naseeb amefunguka kuhusu tetesi zinazoendelea za mtoto wake kutajwa kuwa ndiye mzazi halali wa mtoto wa mlimbwende...

Kanga moja Mvalie mwenza wako na sio kila mtu

Ukitaka kuifanya ndoa iwe imara siku zote kuna mavazi sahihi ya mke kumvalia mumewe wakiwa chumbani na kama kwenye nyumba mnaishi wawili tu, jiachie...

Damu ya Baba sehemu ya 17 & 18

SEHEMU YA 17 Hans alisikitika sana masikini, pale mke wake alipo fariki! alikata tamaa ya maisha  na akajiona kapoteza kila kitu katika maisha maana mkewe...

Wasimamishwa kazi kwa kutovaa tai

Wafanyikazi sita wa baraza la mji wa Ntugumo nchini Uganda wamesimamishwa kazi kwa madai ya kutovaa tai. Kulingana na gazeti la Daily Nation, walisimamishwa kazi...

TID aikana mimba ya Rachel Kizunguzungu

Msanii Khalid Mohamed maarufu kwa jina la TID, ameruka viunzi na kukana tetesi za kumpachika ujauzito msanii mwenzake Rachel. Akizungumza kwenye kipindi che eNewz kinachorushwa...

Alikiba kuja na KIPUSA, HEART BREAKER na PASUA KICHWA?

Msanii Alikiba ambaye yupo kimya kwa muda mrefu ameamua kukata kiu ya mashabiki wake na kumaliza hasira zao kwa kushusha ngoma tatu mfululizo pindi...

Agizo la IGP Sirro kwa Makamishna wastaafu

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amewataka Makamishna wastaafu wa Polisi kuendeleza elimu ya Polisi Jamii pamoja na kutoa msaada katika...

Wema kurejea tena mahakamani Agosti 31

Uamuzi wa kupokea au kutopokea kielelezo cha ushahidi cha msokoto mmoja wa bangi na vipisi viwili vya bangi katika kesi inayomkabili mlimbwende wa Tanzania...

Mjue muigizaji anaelipwa pesa nyingi zaidi mwaka 2017

Emma Stone ndiye mwigizaji wa kike anayelipwa pesa nyingi zaidi miongoni mwa waigizaji duniani mwaka huu. Mwigizaji huyo aliyeigiza katika filamu iliyovuma sana mwaka huu...

Lissu amshukia IGP Sirro

Rais wa chama cha Wanasheria Tanzania (TLS) na Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Tundu Lissu. Rais wa chama cha Wanasheria Tanzania (TLS) na Mwanasheria Mkuu wa...

Kifusi chaua wanafunzi wawili

Wanafunzi wawili wa Shule ya Msingi Chikomo Tarafa ya Nalasi, Wilaya ya Tunduru Mkoa wa Ruvuma wamefariki baada ya kuangukiwa na kifusi wakati wakichimba...
video

Zanzibar ya Mr Nana na Kassim Mganga unaikumbuka

https://youtu.be/Hr7q8brXvzs

Mayanja : Tatizo kubwa Simba ni Ufungaji tu

Mayanja amekiri kuwa mpira hautabiriki, dimbani lolote linaweza kutokea lakini Simba itarekebisha mapungufu machache ya maliziaji na mambo yatakuwa Alhamisi ya Agosti 17 Simba ilicheza...