Ikulu Waijibu kampuni ya Acacia kuhusu ripoti ya mchanga wa madini

Uamuzi wa Serikali kuhusu suala la usafirishaji wa mchanga wa madini, utategemea ripoti ya kamati ya pili iliyoundwa na Rais John Magufuli kuchunguza suala...

Mtoto wa Mugabe atunukiwa cheo cha Ukurugenzi wa Benki

BINTI wa Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe, ameteuliwa kuwa mjumbe wa bodi ya wakurugenzi ya benki mpya nchini humo, ikiwa ni mara ya pili...

Gwajima kuwavua mataulo wanaomchokoza

 Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amewatahadharisha wanaomchokoza akisema ni sawa na mtu anayeanzisha ugomvi huku akiwa amevaa taulo. Akihubiri jana, Gwajima...

Simba waalikwa bungeni leo Jumatatu

Siku mbili baada ya klabu ya Simba kutwaa ubingwa wa Kombe la Shirikisho, imepata mwaliko bungeni. Simba iliibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya...

Prof. Maghembe atoa neno kwa wavamizi wa misitu.

Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe amewashukuru wavamizi  wa Msitu wa Hifadhi wa Isawima wilayani Kaliua ambao wameamua kwa hiari yao kubomoa...

Mbowe: Tunajiandaa kukamata dola 2020

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema wamebadili msingi wa uongozi wao ikiwamo kufanya mfumo unaoendana na mwaka wa Serikali ambao unaanzia Julai Mosi hadi...

Mgeja amjia juu Polepole

Mwenyekiti wa Tanzania Mzalendo Foundation, Khamis Mgeja amemuonya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Hampyrey Polepole aache mara moja kugeuza matukio ya kuuawa...

Nyandu Tozi awakandia Weusi

Msanii Nyandu Tozi kutoka B.O.B Micharazo amefunguka kwa kuwaponda kundi la Weusi kuwa hawana mafanikio yoyote waliyoyapata katika maisha sababu bado wanaishi katika nyumba...

Dongo la Wolper kwa wavaa nusu uchi

Mwigizaji Jacqueline Wolper amefunguka na kuwataka watu maarufu kujiheshimu na kuvaa nguo kulingana na mazingira kwani kuvaa nguo ambazo hazina staha inaweza kupeleka kukosa...

Tecno: Ni kawaida yetu kurudisha kwa Jamii sehemu ya Mapato

Kampuni ya simu za  mkononi ya Tecno  imeandaa tafrija fupi iliyowakutanisha pamoja wateja wa simu za Tecno, wafanyakazi wa kampuni hiyo pamoja na wauzaji...

Kwanini Trump hutumia nguvu anapompa mtu mkono

Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron amekiri kuwa, mkono wa nguvu aliompa Rais Donald Trump katika mkutano wa NATO mjini Brussels siku ya Alhamisi, ulikusudiwa...

Jonas Mkude apata ajali

Kiungo na Nahodha wa timu ya Simba SC, Jonas Mkude amepata ajali baada ya gari waliokuwa wakisafiri nalo kupinduka katika eneo laDumila Mkoani Morogoro...

Kampeni za Uchaguzi Mkuu rasmi leo Kenya

Kampeni rasmi za kisiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu mwezi Agosti mwaka huu, zinaanza rasmi leo nchini Kenya. Mgombea wa urais kupitia muungano wa upinzani NASA Raila...