Mkapa aanika siri ya Rais

RAIS mstaafu wa tatu, Benjamin Mkapa jana alitoboa siri iliyomfanya amteue Rais John Magufuli kuwa mmoja wa mawaziri katika utawala wake. Mkapa alisema moyo wa...

Omog ambakisha Mayanja Simba SC

Kocha Mkuu wa Simba, Joseph Omog, amekataa kubadilishiwa msaidizi wake na badala yake kulazimisha Mganda Jackson Mayanja, aendelee kubaki katika nafasi yake ile ile,...

JPM: Naujua umaskini, nimeuza maziwa na furu

Rais John Magufuli, amesema ataendelea kuwatetea Watanzania maskini na wenye kipato cha chini kwa sababu hata yeye ameishi maisha duni. Magufuli ameyasema hayo jana Jumatatu,...

Mbivu na mbichi za Makinikia kujulikana kesho

HATIMAYE majadiliano kati ya Serikali na Barrick Gold Corporation ya Canada juu ya urejeshaji wa fedha ambazo nchi imepoteza kutokana na udanganyifu ambao umegundulika...

Ukawa waja na operesheni OBM

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Pwani kwa kushirikiana na baadhi ya viongozi waandamizi na wabunge wa Chama cha Wananchi (CUF), wameanzisha...

Mkapa – kwa takwimu za Waziri wa Afya..zitawafungua niliowaita wapumbavu

Rais Mstaafu awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa amefunguka na kusema tafiti zilizotolewa jana na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na...

Siku ya idadi ya watu Duniani ongezeko la watu lachochea upungufu wa huduma za...

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Otilia Gowele (wa kwanza kushoto) akimsikiliza Mkurugenzi wa Shughuli...

Kaseke, Yanga ngoma nzito

KIUNGO Deus Kaseke huenda asiichezee klabu yake ya Yanga msimu ujao baada ya kushindwa kuafikiana katika makubaliano yao. Kaseke alirejea Dar es Salaam Alhamisi kwa...

Sirudi nyumbani sehemu ya kumi na mbili

Mama yangu mzazi alipo nipiga kichwani na ile fimbo, palepale nikapoteza fahamu na mwili wangu ukapotea ghafla mbele ya macho yake, hivyo mama akajua...

Mfumuko wa bei mwezi Juni wapungua kufikia 5.4 kutoka 6.1 2017

Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwezi Juni, 2017 umepungua hadi asilimia 5.4 ikilinganishwa na asilimia 6.1 ilivyokuwa mwezi Mei, 2017. Akizungumza na waandishi wa...

Unesco wakitambua kisiwa cha wanaume pekee Japan

Kisiwa cha Okinoshima nchini Japan, ambapo wanawake hawaruhusiwi kufika, kimetambuliwa kama Turathi ya Ulimwengu na Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa...

Ulaya leo kwenye tetesi za usajili

Everton wametoa dau jipya la pauni milioni 32 kumtaka kiungo wa Swansea Gylfi Sigurdsson, 27. Wakifanikiwa watakuwa wametuia zaidi ya pauni milioni 100 za...

Taifa Stars kuweka kambi Siku nne Mwanza

Kocha wa Timu ya soka ya Tanzania Taifa Stars Salum Mayanga amemuondoa kipa wa Yanga, Benno Kakolanya katika kikosi chake na kumchukua chipukizi, Ramadhani...

Arsenal yamtaka golikipa huyu kumrithi Cech

Kutoka Ufaransa habari zimesambaa kuwa Arsenal imeanza mipango ya kutaka kumsajili kipa namba moja wa Toulouse ya nchini humo,Alban Lafont. Kocha wa Arsenal,Arsene Wenger anamuona...