Wapiga debe 150 mbaroni kwa kuibia abiria

Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dsm limeendelea kufanya misako na Oparesheni kali ambapo kuanzia tarehe 14/8/2017 mpaka tarehe 17/8/2017 limefanikiwa kuwakamata jumla ya watuhumiwa...

Shaaban kwenda Sauzi kufanyiwa uchunguzi

Mshambuliaji kinda wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Shaaban Idd, anatarajia kuondoka nchini kesho Ijumaa kuelekea nchini Afrika Kusini kwa...

Je Real madrid kuendeleza ubabe wake Uhispania?

Imedhihirika kuwa Real Madrid ni wababe wa Barcelona, hili limethibiti ndani ya wiki hii na kila mmoja amekiri ni kweli kama alivyosema Pique Si Gerard...

Usajili na tetesi leo

Real Madrid wanajipanga kutoa dau la paundi milioni 46 kwa ajili ya kipa nambari moja wa Manchester United, David De Gea kwa mujibu wa ...

Azam FC, Kagera zafikia muafaka kuhusu Mbaraka Yusuph

Uongozi wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC na ule wa Kagera Sugar jana ulifikia muafaka kuhusu usajili wa mshambuliaji Mbaraka...

Kesi ya Manji bado ngoma nzito

Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Yusuf Manji, imeahirishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kutokana na mtuhumiwa huyo...

Watoto wa Lucky Vicent warudi na vicheko

Wazazi, watoto na watu mbali mbali wameshindwa kujizuia na kumwaga chozi walipokuwa wakiwapokea watoto Sadia Ismail, Doreen Eribariki na Wilson Tarimo, ambao wamerejea rasmi...

Kituo cha afya Chalinze Chaanza Upasuaji wa Wagonjwa

KITUO cha afya cha Chalinze kilichopo Kitongoji cha Bwilingu halmashauri ya Chalinze Bagamoyo Mkoa wa Pwani kimeanza kuwafanyia operesheni wagonjwa wanaohitaji huduma hiyo kituoni...

Makocha watakaowania tuzo ya kocha bora wa mwaka 2017.

Shirikisho la mpira wa miguu duniani (FIFA) limetangaza majina ya makocha kumi watakaowania tuzo ya kocha bora wa mwaka 2017. Katika kinyang’anyiro cha kuwania tuzo...

Waziri Mwigulu ahaidi vinono jimboni kwake

Waziri wa Mambo ya ndani na Mbunge wa jimbo la Iramba Magharibi Mwigulu Nchemba ameendelea na ziara yake ya kutembela kila kijiji katika kila...

Nay wa Mitego akwaa skendo ya fumanizi

Bingwa kabisa wa Hip Hop Bongo anayesumbua na Wimbo wa Acheze, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ amedaiwa kukwaa skendo ya kufumaniwa na mpenzi wake...

Kitila Mkumbo – Raila Odinga ni baba wa demokrasia Afrika Mashariki

Ikiwa imepita siku moja toka kiongozi wa upinzani Kenya (NASA) Raila Odinga kutangaza adhima ya umoja huo kwenda Mahakama ya Juu ya Kenya kupinga...
video

Zijue tabia tabia za ndani za Msukuma wa kweli

https://youtu.be/CYzewO-MlbU

Mtatiro – Lipumba ni mbakaji

Mwenyekiti Kamati ya muda ya uongozi wa CUF, Julius Mtatiro amefunguka na kujibu hoja za baadhi ya watu ambao wanataka CUF kukubaliana na Professa...