Rais Kenyatta atangaza adhabu ya Kifo kwa atakaye haribu miundombinu ya reli

Muda mchache jana baada ya kuzindua Miundombinu ya Reli ya Kisasa Jijini Nairobi, Rais Uhuru Kenyatta alindika kwenye ukurusa wake wa Twitter kuwa "Sitosita...

Msanii aliyeshika kichwa cha Rais Trump Kufunguliwa mashtaka

Msanii mchekeshaji raia wa Marekani mwanamama Cathy Griffin alieonekana live kupitia kipindi cha TV kinachorushwa na CNN akiwa ameshika kinyago kinachofanana kabisa na kichwa...

Je, wajua mchezaji gofu maarufu duniani Tiger Woods huwa hajitambulishi kama mtu mweusi?

Tiger Woods anaamini yeye ni mtu wa asili nyingi na hata alijiundia jina mseto kueleza asili yake, na kusema asili yake ni Cablinasian. Cablinasian...

Marekani waanza kujihami na makombora ya Korea Kaskazini

Marekani imesema kuwa imefanikiwa kwa kiasi kikubwa katika jaribio lake la kwanza la mtambo wa kutungua makombora ya nyuklia ya masafa marefu. Mtambo huo wa...

Spika Ndugai amlilia Mzee Ndesamburo

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Job Ndugai amemtumia salamu za rambirambi Mwenyekiti wa CHADEMA, Mh. Freeman Mbowe, kufuatia kifo...

Akaunti 88 za Rais Jammeh zafungwa, waziri wa serikali mpya adai alikwapua dola milioni...

WAZIRI wa Sheria wa Gambia, Abubacarr Tambadou, amesema kiongozi wa zamani wa nchi hiyo, Yahya Jammeh, ameiba kiasi cha dola za Marekani milioni 50...

Taarifa za awali: Moyo wa Hayati Ndesamburo ulikuwa na matatizo makubwa

Wakati uchunguzi wa kifo cha Hayati Philemon Ndesamburo ukiendelea,taarifa za awali zinadokeza kuwa moyo wake ulikuwa na matatizo makubwa. Kiongozi wa wachunguzi wa kitabibu,Prof. Elisante...

Inavyosemekana : CCM kuwafukuza Nape Nnauye na Bashe

Taarifa kutoka chanzo cha ndani kabisa ndani ya CCM zinasema kwamba kuna uwezekano mkubwa katika Kikao kijacho cha CCM takribani Wanachama 11 wakafutiwa Uanachama...

JPM ateua manaibu gavana wa Benki Kuu

Rais John Magufuli jana, Jumatano ameteua manaibu Gavana wawili wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT). Taarifa ya Ikulu imesema, Rais amemteua, Dk Yamungu Kayandabila kuwa...

Manchester United ndio klabu yenye thamani kubwa Ulaya

Manchester United ndio klabu yenye thamani kubwa barani Ulaya ikiwa na thamani ya Yuro bilioni 3 kulingana na kampuni ya biashara ya KPMG. Mabingwa hao...

Pierre-Emerick Aubameyang atua PSG ya Ufaransa

Timu ya soka ya Borussia Dortmund ya nchini Ujerumani imekubali dau la £61m kutoka klabu ya Paris Saint-Germain ya nchini Ufaransa kwa ajili ya...

TACOSODE- Wananchi wameanza kufuatilia utekelezaji wa miradi ya Maendeleo.

BARAZA la Vyama vya Hiari na Maendeleo ya Jamii (Tacosode) limesema wananchi  wamekuwa na uelewa kuhamasisha bajeti kuwa na kipaumbele kwa changamoto zinazowakabili.  Hayo...

Mwenge wa Uhuru: Wazindua miradi ya bilioni 2.8 Ubungo

 Kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa Amour Hamad Amur amezindua miradi ya biioni 2.8 katika wilaya ya ubungo jana ikiwemo kituo cha mabasi Simu...