Mabango ya ‘4:44’ yaashiria ujio wa albamu mpya ya Beyonce na Jay Z

Mabango yaliyoandikwa 4:44 yanayoonekana mtandaoni na barabarani nchini Marekani yamesababisha tetesi kuwa huenda ni album mpya ya Jay Z, au haya ya pamoja na...

ACT yamtaja mrithi wa RC Mghwira, yamuomba Rais aendelee kuteua wapinzani

Tarehe 3 Juni, 2017 Mwenyekiti wa chama chetu cha ACT Wazalendo, Mama Anna Elisha Mghwira aliteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro. Kufuatia uteuzi...

Mario Balotelli huenda akatua hapa

Baada ya matatizo mengi na kiwango kushuka sana, hatimaye mshambuliaji mtukutu wa klabu ya Nice Mario Balotelli amekuwa na msimu bora sana tangu ajiunge...

Mawakili wavutana kuhusu kutangazwa kwa matokeo ya urais

Mawakili wa serikali na upinzani nchini Kenya wanachuana vikali katika Mahakama ya rufaa jijini Nairobi, kuhusu suala tata la kutangazwa kwa matokeo ya mwisho...

Yvonne Chakachaka aula BET

Malkia wa muziki barani Afrika, Yvonne Chakachaka, ametunukiwa tuzo ya BET. Muimbaji huyo wa Thank You Mr Dj, amepewa tuzo ya Global Good Power....

Mwanamke akamatwa China akiwa na mikoba iliyotengenezwa kwa cocaine

Maafisa wa forodha mjini Shanghai nchini China, wanasema kuwa wamemkamata mwanamke ambaye alijaribu kusafirisha mikoba miwili hadi nchini Uchina, ambayo ilikuwa imetengenezwa kwa kutumia...

Steve Nyerere : Msinihusishe na sauti inayozagaa

Mchekeshaji Steve Nyerere mwenye vipaji vya kuigiza sauti mbalimbali za viongozi, amewataka Watanzania kuacha kumuhusisha kwenye sakata la kutengeneza audio ambayo anasikika malkia wa...

Mauaji ya Kibiti: Naibu Waziri Masauni, IGP Sirro watoa msisitizo huu

Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Bungu, wilayani Kibiti Mkoa wa...

Msajili wa Vyama ambana Maalim Seif ofisi mpya

KUTOKANA na Chama cha Wananchi (CUF) kufungua ofisi mpya za chama hicho katika eneo la Mtaa wa Idrisa Kata ya Mzimuni, Magomeni wilaya ya...

Gabo atoa somo kwa wanawake wa Kiislamu

Muigizaji anayefanya vizuri kwa sasa kwenye 'game' ya Bongo Movie Gabo Zigamba, ametoa somo kwa wanawake wa Kiislamu kuacha kubweteka na kuwa wachafu kwa...

Anachokiamini Anna Mgwira mpaka sasa

"Mpaka sasa mimi ni mwenyekiti wa chama, nitakaa na wenzangu tuangalie mazingira ya chama chetu jinsi kilivyo kutokana na majukumu yangu nitakuwa Kilimanjaro kwa...

Mkwasa : Ngoma bado ni mchezaji wa Yanga

Kumekuwa na minong’ono mingi kuhusu mchezaji wa Yanga raia wa Zimbambwe Donald Ngoma huenda akaiacha klabu hiyo na kwenda kutafuta maisha ya soka sehemu...

Arda Turan astaafu soka la Kimataifa

Kiungo wa Barcelona Arda Turan amestaafu kuichezea timu yake ya taifa ya Uturuki. Turan mwenye umri wa miaka 30 ametumia ukurasa wake wa instagram kutangaza...

Mbunge ataka bei ya bia na soda zisipande

Wakati Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2017/18 ikitarajiwa kuwasilishwa bungeni kesho, baadhi ya wabunge wametoa maoni yao wakisisitiza haja ya sekta ya...

Hatma ya Mhe. Anna Mghwira kujulikana leo..ACT wakutana kumjadili

Wakati Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira amekula kiapo Ikulu jijini hapa jana, Jumanne Chama cha ACT- Wazalendo kimesema kitajadili utekelezaji wa majukumu...