wanafunzi 24 wazama ziwa victoria

Wanafunzi 24 wa shule ya msingi Butwa iliyopo kata ya Izumacheli, mkoani Geita wamezama katika kisiwa cha Butwa katika Ziwa Victoria walipokuwa wanatoka shuleni. Kwa...

Magufuli ateua naibu kamishana TRA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli amemteua Bw. Adolf Hyasinth Mohondela Ndunguru kuwa Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya...

JPM afanya mapinduzi ya elimu

Rais Magufuli ametajwa kuwa rais wa kwanza mwenye nia ya dhati ya kuleta maendeleo makubwa katika sekta ya elimu nchini baada ya kuruhusu serikali...

Vodacom kumwaga zawadi kwa washindi ligi kuu

Wadhamini wa kuu wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara,Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania PLC inatarajia kutoa zawadi kwa washindi wa ligi kuu...

Hadithi : Sirudi nyumbani sehemu ya Tatu

SEHEMU YA TATU. Tuliangaika sana mimi pamoja na Yule kaka muuza madawa, maana hali ya queen ilikuwa inaendelea kuwa mbaya, nikamuuliza Yule kaka kwamba, “tufanyeje...

UNFPA kuendelea kufadhili matibabu ya Fistula Nchini

Mei 23 kila mwaka ni siku ya Kimataifa ya kutokomeza Fistula, ambapo UNFPA Tanzania wameendelea kuhakikisha siku hiyo inatumika ipasavyo kuwakumbusha wananchi juu ya...

Meya wa jiji la DSM kusaidia deni la Makaburi ya Tambaza

    Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita ameahidi kusaidia kupunguza deni la sh. Milioni 16 linalodaiwa na mkandarasi wa kampuni ya...

Albert Msando awaangukia watanzania sakata lake na Gigy Money

Mwanasheria Albert Msando amewaomba radhi ndugu, jamaa pamoja na mashabiki baada ya kusambaa kwa video yake mtandaoni inayomuonyesha akishikana na video queen, Gigy Money. Msando...

Sijaelewa tafsiri ya uongo kwangu iko wapi – Ruge Mutahaba

Mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba, ameijibu kauli iliyotolewa na Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda...

Malinzi awataka Serengeti Boys kujipanga na haya

Safari ya Serengeti Boys – timu ya Tanzania ya Vijana wenye umri wa miaka 17, inaendelea licha ya jana Mei 21, mwaka huu kuondolewa...

Rais Museveni Aahidi kutafuta hatma ya Mkataba wa EPA Brussels

Mkataba wa Ushirikiano wa Kibiashara (EPA) baina ya nchi wanachama wa Jumuiya ya wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Nchi za Umoja...

Jeshi la Polisi labaini watuhumiwa mauaji Kibiti

Jeshi la polisi nchini limetoa orodha ya majina 12 ya wanaotuhumiwa kuratibu na kuendesha harakati na mauaji ya viongozi wa serikali za vijiji katika...

Mikataba ya ulinzi kuiimarisha Saudi Arabia dhidi ya vitisho vya Iran

Makubaliano ya ununuzi wa silaha za thamani ya dola za Kimarekani bilioni 110 ambayo yamesainiwa na Marekani na Saudi Arabia Jumamosi yanakusudia kutokomeza uchochezi...

Mkuu wa Mkoa Arusha asitisha zoezi la kupokea rambirambi

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MAPATO NA MATUMIZI YA MSIBA WA AJALI YA LUCKY VINCENT MKOANI ARUSHA ​ TAREHE 21 MAY 2017 Mnamo tarehe 19 May 2017 Ofisi...