Rais Museveni Aahidi kutafuta hatma ya Mkataba wa EPA Brussels

Mkataba wa Ushirikiano wa Kibiashara (EPA) baina ya nchi wanachama wa Jumuiya ya wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Nchi za Umoja...

Jeshi la Polisi labaini watuhumiwa mauaji Kibiti

Jeshi la polisi nchini limetoa orodha ya majina 12 ya wanaotuhumiwa kuratibu na kuendesha harakati na mauaji ya viongozi wa serikali za vijiji katika...

Mikataba ya ulinzi kuiimarisha Saudi Arabia dhidi ya vitisho vya Iran

Makubaliano ya ununuzi wa silaha za thamani ya dola za Kimarekani bilioni 110 ambayo yamesainiwa na Marekani na Saudi Arabia Jumamosi yanakusudia kutokomeza uchochezi...

Mkuu wa Mkoa Arusha asitisha zoezi la kupokea rambirambi

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MAPATO NA MATUMIZI YA MSIBA WA AJALI YA LUCKY VINCENT MKOANI ARUSHA ​ TAREHE 21 MAY 2017 Mnamo tarehe 19 May 2017 Ofisi...

Sumaye – Familia yangu inafuatiliwafuatiliwa mno

Aliyekuwa Waziri Mkuu wa serikali ya awamu ya tatu, Frederick Sumaye amejitoa katika Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB kwa madai kuwa familia...

Zitto – Tanzania ni masikini kwa kuwa tumedharau kilimo

Mheshimiwa Spika, Serikali yeyote makini lazima ihangaike na masuala yanayowahusu wananchi wake walio wengi, na hapa Tanzania watu hao (walio wengi) ni Wakulima. Hivyo basi,...

Nchemba: Sitavumilia Kibiti igeuke kuwa Somalia

Waziri wa mambo ya ndani, Mwigulu Nchemba amesema serikali haiwezi kuvumilia mauaji ya mara kwa mara kama yanayotokea Somalia.  Akizungumza katika jiji cha Bungu, Kibiti...

Bomba la mafuta mkataba waiva

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Uganda jana wamesaini mkataba wa ujenzi wa bomba la mafuta kutoka Hoima Uganda mpaka Tanga Tanzania...

Serikali yawatumia mamilioni wazazi wa majeruhi wa Lucky Vicent

Serikali kupitia ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Arusha,imetuma  Sh  44.9 milioni kwa wazazi wa majeruhi ya ajali ya Lucky Vicent wanaotibiwa hospitali ya...

Hadithi:Sirudi Nyumbani Sehemu ya Pili.

MTUNZI: FRANK DAVID TITTLE; SIRUDI NYUMBANI WHATSAPP 0769510060 SEHEMU YA PILI. “Kwanini umerudi mapema, umetoroka shule ehh”. Sikuweza kumjibu mama maana sikutegemea kabisa kama ningeweza kumkuta anafanya mapenzi...

Hizbullah : Safari ya Trump Saudia haina maana yeyote

Harakati ya muqawama ya Hizbullah ya Lebanon imeitaja safari ya Rais Donald Trump wa Marekani nchini Saudi Arabia kama ya kiwendawazimu na ambayo haitakuwa...

Mapokezi ya Yanga leo

Mapokezi ya Mabingwa wa ligi kuu ya Tanzania bara leo Mei 21, 2017 mashabiki wa Yanga walijitokeza kwa mamia kuipokea timu yao kwenye uwanja...

N’golo Kante aendelea kung’aa England

Daima nyota ikiwaka hakuna wakuzuia husasan kwenye vitu ambavyo umepangiwa na mungu uvipate na uwe navyo huku ikiambatana na mapenzi na nidhamu ya shughuli...

Hassan kessy ashangilia ubingwa kwa upana zaidi

Licha ya kuwa na msimu uliombatana na ‘misukosuko’ mingi iliyoambatana na ‘kejeli’, mlinzi wa  kulia wa Yanga SC, Hassan Ramadhani Kessy anaweza kutajwa sehemu...