Serengeti Boys kibaruani leo saa 2 na nusu Usiku

Mashabiki wa soka wa Tanzania leo hisia zao na usikivu wao wote unaelekezwa Gabon kwa Serengeti Boys itakayovaana na Niger kwenye mchezo wa mwisho...

UNFPA na dhamira ya kutokomeza Fistula

FISTULA ni moja ya magonjwa yanyayohatarisha afya ya mama mjamzito na mtoto kutokana na madhara yake endapo huduma ya haraka haitapatikana wakati wa kujifungua....

Samatta azidi kutakata Genk

Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta usiku wa jana amecheza vizuri kwa dakika zote 90 timu yake, KRC Genk ikilazimisha sare ya...

AS Monaco yafunga pazia la ligi ya Ufaransa kwa rekodi mujarab

Mabingwa wapya wa Ligue 1 ya Ufaransa,AS Monaco wamefunga msimu wa ligi hiyo kwa kishindo baada ya Jumamosi usiku kupata ushindi wake wa 12...

Alichokisema Halima Mdee bungeni

Mbunge Halima Mdee leo akiwa bungeni amewataka wabunge wa Chama Cha Mapinduzi vijana hata wale watu wazima lakini hawana muda mrefu bungeni wasome vizuri...

Aubameyang kinara wa Magoli ligi kuu ya Ujerumani

Mchezaji wa nafasi ya ushambuliaji kutoka Gabon,Pierre-Emerick Aubameyang amekuwa Mwafrika wa pili kutwaa tuzo ya mfungaji wa magoli wa ligi ya Bundesliga "kicker Torjägerkanone"...

Nahodha Issa Makamba wa Serengeti Boys arudishwa Tanzania

Afisa habari wa shirikisho la soka Tanzania TFF Alfred Lucas akiwa Gabon ameongea kuhusiana na nahodha wa timu ya taifa ya vijana ya Serengeti...

Habari picha Mkutano wa 18 wa kawaida wa Wakuu wa nchi wa Jumuiya ya...

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki anayemaliza muda wake Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea Mwenyekiti mpya wa Jumuiya hiyo Rais wa Uganda Mhe....

Ujio Mpya wa Chin Bees, anakuletea Nyonga Nyonga

Baada ya kujitengenezea heshima adimu kama ‘Prince wa Trap’ Tanzania kupitia ngoma yake, Pepeta, Chin Bees ameachia wimbo mpya ‘Nyonga Nyonga’ pamoja na video...

Risasi zawaua watatu vita polisi, majambazi

WATU watatu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wameuawa kwa risasi jijini Mwanza jana katika kile kinachoelezwa kuwa ni matokeo ya vita kali ya kurushiana risasi...

Gambo azungumzia siasa tukio la Lucky Vincent

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amesema kuwa tukio la msiba wa wanafunzi wa Lucky Vincent uliotokea hivi karibuni halikutegemewa na halipaswi kutumika...

Hawa hapa watuhumwa 12 wa mauaji Pwani

Jeshi la polisi mkoani Pwani ,limewabaini baadhi ya mtandao wa watuhumiwa wa mauaji yanayoendelea wilayani Mkuranga, Kibiti na Rufiji wapatao kumi na mbili akiwemo...

Rais Magufuli kumkabidhi Museveni uenyekiti EAC leo hii

Rais John Magufuli leo Jumamosi ya Mei 20, 2017 katika mkutano wa 18 wa Wakuu wa Nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)anatarajiwa...