Utata waibuka wakati wa kuaga mwili wa Ndesamburo

Mbunge wa Arusha mjini kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Godbless Jonathan Lema amedai vyombo vya usalama vimezuia kuaga mwili wa...

Juventus vs Real Madrid mbabe kufahamika leo

Mkufunzi mkuu wa Real Madrid Zinedine Zidane anakabiliwa na kizungumkuti cha kuamua nani kati ya Gareth Bale na Isco atacheza katika fainali ya Ligi...

Mama Samia awakalia kooni waajiri

Makamu wa Rais, Samia Suluhu amewaagiza waajira wasiopeleka au kuchelewesha michango ya wanachama kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii nchini wachukuliwe hatua za kisheria...

Mwili wa Mzee Ngosha waagwa leo

Mwili wa marehemu Mzee Francis Maige Kanyasu  umeagwa leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH)  na kusafirishwa na serikali kwenda kijijini kwao Igokero wilayani...

Familia ya Ivan Matatani kwa Kufukia Pesa ya Uganda Kaburini..!!!

Wanasheria nchini Uganda wameamua kuifikisha familia ya Ivan Mahakamani kwa makosa ya kuzika pesa halali za Jamhuri ya Uganda katika kaburi la ndugu yao...

Mkwasa – Simba Wametuongezea gharama za usajili

Baada ya Simba kufanikiwa kupata tiketi ya kushiriki michuano ya kimataifa mwakani, imeelezwa kuwa gharama za kusajili wachezaji nyota zimeongezeka. Simba ambao ni mabingwa wa...

Nchemba apiga marufuku wagonjwa kuchajiwa hela ya mafuta

Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwingulu L. Nchemba, amekabidhi gari la kubebea wagonjwa ambalo limetolewa na Serikali kupitia Wizara ya Afya, Jinsia, Wazee na...

Leo ni Madrid ya maajabu, Juventus chuma

Ni fainali ya kihistoria ya Real Madrid na Juventus leo Jumamosi jijini Cardiff, Wales huku timu hizo  mbili kila moja ikiwa imenyakua ubingwa wa...

Profesa Muhongo apata wa kumtetea bungeni

Mjadala wa mchanga wa dhahabu (makinikia) umeibuka tena bungeni mbunge akiwatuhumu wenzake, huku akimtetea Profesa Sospeter Muhongo kuwa ametolewa madarakani kama vile mbuzi wa...

Fid Q amkingia kifua David Beckham

Farid Kubanda maarufu kama 'Fid Q' ameshindwa kuwavumilia wabongo wanaomsakama mchezaji David Beckham aliyeko nchini Tanzania mapumzikoni, kwa kuwaambia wasimpangie kutangaza bali wamheshimu mtalii...

Obama anunua nyumba ya $8.1m Washington DC

Familia ya Rais mstaafu wa Marekani Barack Obama imenunua nyumba ambayo kwa muda wamekuwa wakiishi kwa kukodisha mjini Washington DC. Nyumba hiyo yenye vyumba tisa...

Pam D akanusha madai ya kujiuza mtandaoni

Msanii Pamela a.k.a Pam D amekanusha zile tetesi za yeye kujiuza mitandaoni na kudai yeye ni mwanamke anayejitambua na kujiheshimu hivyo hawezi kufanya hivyo. Pam...

Serikali kusafirisha mwili wa Mzee Ngosha

Mwili wa Mzee Francis Maige Kanyasu almaarufu kwa jina la Mzee Ngosha ambaye anayetajwa kuwa ni moja wa wachoraji wa nembo ya Taifa aliyefariki...

Masauni azindua mpango wa kuwasaidia wakimbizi

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni amezindua Mpango wa Kuwasaidia Wakimbizi (CRRF) nchini ambao ni matokeo ya Mkutano wa New York wa...