Mpaka kieleweke sehemu ya 54

Fahamu zangu zilipokuja kurudi nikajikuta nikiwa nimelala kitandani ndani ya kajumba cha udogo, chumba kilikuwa kidogo na chenye makolokolo mengi sana. Ilionekana hakuwa usiku...

Seikali yaufungua Mgodi wa Buhemba

Hatimaye Serikali imefungua Migodi ya Dhahabu ya Wachimbaji Wadogo iliyopo katika eneo la Buhemba Wilaya ya Butiama Mkoani Mara baada ya kujiridhisha hali ya...

DC Happi atoa Mwezi mmoja kwa Mkandarasi kukamilisha Mradi wa Maji

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Ally Hapi ameitaka Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) kusimamia kwa karibu shughuli...

CCM Yaibuka na ushindi………..

Chama cha Mapinduzi CCM kimevigalagaza vyama vvya upinzani na kuibuka mshindi katika uchaguzi mdogo wa wabunge, kwenye majimbo matatu ya Songea Mjini, Longido na...

Waziri Mkuu auvunja Mfuko wa kuendeleza Kahawa

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameuvunja Mfuko wa Wakfu wa Kuendeleza zao la Kahawa (CDTF) na amemuagiza Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)...

‘WCB hatuvai Misalaba’-Lavalava

Mwaka jana kulikuwa na stori nyingi mtandaoni kuhusu Wasanii wa WCB kuvaa mikufu yenye misalaba shingoni kitu ambacho baadhi ya watu wamekuwa wakihusisha na...

Kingunge arejeshwa Hospitali

Mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale Mwiru, amerejeshwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya kuendelea na matibabu. Mzee Kingunge aliruhusiwa kutoka hospitalini hapo Januari...

Rais Kagame awasili Nchini kwa ziara ya kikazi ya siku moja

Rais wa Rwanda, Paul Kagame amewasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku moja na kupokelewa na mwenyeji wake Rais Dkt. John Pombe Magufuli...

MAGUFULI: Watanzania puuzeni Mjadala wa Kuongeza kipindi cha Urais

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 13 Januari, 2018...

Sumaye awachana wanaohama Vyama

Waziri Mkuu mstaafu na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ukanda wa Pwani, Fredrick Sumaye amedai wabunge na madiwani wanaohama vyama na...

Mpaka kieleweke sehemu ya 53

Nilimwelezea mke wangu asili ya jeraha lile kwa kifupi, tukakubaliana kutafuta wataalamu wa tiba za asili (waganga) ili waweze kutusaidia. Wengi wa waganga hao...

Naibu Waziri wa Maji aahidi huduma ya uhakika ya Maji safi Kishapu

Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Jumaa Aweso ameendelea na ziara yake mkoani Shinyanga kwa kukagua utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi kwa...

RC Kilimanjaro akabidhi vifaa vya mawasiliano kwa Jeshi la Polisi zikiwemo Kompyuta

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro,Kamishna Mwandamizi Msaidizi wa Polisi ,Hamis Issa akiumuongoza Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira alipowasili katika uwanja wa...

Waziri Mwigulu afunga Kampeni Singida awaonya watakaofanya Vurugu

Waziri Wa mambo ya ndani ya nchi DK mwigulu Nchemba amewahakikishia usalama  wananchi wote ambao majimbo yao yanafanya uchaguzi  marudio na kuwataka kujitokeza Kwa...