Harmorapa atamba ajawahi kuachwa na mwanamke

Msanii wa muziki wa bongo fleva Harmorapa amefunguka na kusema kuwa katika maisha yake hajawahi kabisa kuachwa na mwanamke bali yeye ndiye huwa anawaacha...

Aliyeharibiwa ubongo na simu ya kampuni kulipwa 16m kwa mwaka

Mahakama nchini Italia imeamuru mfanyakazi wa kampuni ya simu alipwe na kampuni hiyo baada ya kuridhika na ushahidi kuwa alipata uvimbe kwenye ubongo uliosababishwa...

Faida ya parachichi kwa binadamu

Tunda hili lina virutubisho vingi na muhimu kwa afya zetu, na inaelezwa kuwa tunda hili huenda likawa ni mbadala wa vyakula kama nyama nyeupe...

Mtoto aliezaliwa ndani ya ndege kuajiriwa

Shirika la ndege Turkish Airlines lafahamisha kudhamini masomo ya Kadiju, mtoto aliezaliwa katika ndege ya shirika hilo Turkish Airlines kumuajiri mtoto aliezaliwa ndani ya ndege...

Uturuki yakemea shambulio la Paris

Serikali ya Ankara yakemea vikali shambulizi la kigaidi liliotekelezwa mjini Paris ambapo askari mmoja alifariki. Mtu alietekeleza shambulizi hilo pia aliuawa na askari waliokuwa wakilinda...

Taarifa kutoka Bodi ya filamu kuhusu sakata la filamu za nje

Bodi ya Filamu nchini imetoa taarifa juu ya habari zinazoendelea kwenye mitandao ya kijamii kuhusu serikali kuzuia uingizaji, usambazaji na uuzaji wa filamu za...

Ufaransa yakamilisha shughuli ya Kampeni

Shughuli za kampeni zimekamilika nchini Ufaransa kabla ya awamu ya kwanza ya uchaguzi wa urais. Siku ya mwisho ilighubikwa na mashambulizi ya Waislamu wenye itikadi...

Yanga wamuanzisha Kakolanya dhidi ya Prisons leo Taifa

Mlinda mlango wa tatu wa Yanga, Benno Kakolanya ndiye akayedaka leo dhidi ya timu yake ya zamani, Prisons katika Robo Fainali ya mwisho ya...

Mfanyabiashara Auawa kwa kupiga Risasi Singida

Mauaji ya kutumia silaha za moto yameendelea kushamiri nchini,baada ya mfanyabiashara mmoja mjini Singida kufariki dunia baada ya kupigwa risasi ya bunduki aina ya...

Atakaehitaji kuondoka Yamoto band ruksa – Fella

Mkurugenzi wa kituo cha Mkubwa na Wanawe na Yamoto Band, Said Fella ‘Mkubwa Fella’ amedai kuwa hakuna msanii aliyekatazwa kuondoka ndani kundi hilo. Aidha amedai...

Watoto 20 wafariki katika ajali Afrika Kusini

Takriban watoto 20 wamefariki katika ajali ya barabarani katika mkoa wa Mpumulunga nchini Afrika Kusini kaskazini mwa mji mkuu wa Pretoria. Kulingana na chombo cha...

Harmonize na Rich Mavoko wadaiwa kumuibia PCK Show Me

Show Me’ ya Harmonize na Rich Mavoko ni moja kati ya nyimbo ambazo zinafanya vizuri katika sehemu mbalimbali ndani na nje ya nchi, katika...

Ijue thamani ya dola ya Kimarekani dhidi ya shilingi ya Tanzania kuanzia 1966

Historia ya Dola ya kimarekani dhidi ya Shilingi ya Kitanzania 1966-1972) 1 USD = 5 TZS, 1973-1975) 1 USD =7 TZS, 1976,,1 USD=12 TZS 1977, 1 USD =12...

Breaking News : Cuf wavamiwa wakiwa na waandishi wa habari

Kundi LA watu wanaosemekana kuwa ni wafuasi wa Profesa ibrahimu Haruna Lipumba limevamia mkutano wa wafuasi wa maalim seif na wanahabari wakiwa na mapanga...

Gabo Zigamba : Sina uhusiano wa kimapenzi na Wema Sepetu

Kufuatilia uwepo wa madai kuwa amelionja penzi la mwigizaji Wema Sepetu, mkali anayekimbiza kwa sasa katika soko la sinema kwa Bongo, Salim Ahmed ‘Gambo’...