Mrema amtaka James Mbatia atimize ahadi aliyomuahidi

Mwenyekiti wa bodi ya Parole Augustino Mrema amemtaka mbunge wa Vunjo James Mbatia atimize ahadi yake ya kumpelekea mfuko wa sukari kilo 50 kila...

Mama Aliyeibiwa Mtoto Hospitali, Afunguka

Asma Juma, mzazi aliyejifungua watoto mapacha na kudai kuibiwa mtoto mmoja katika hospitali ya Temeke, amefunguka kuelezea kilichotokea. Mzazi huyo anawatuhumu wauguzi wa hospitali hiyo...

Dawa ya kifafa, hatari kwa wajawazito

Utafiti uliofanywa huko Ufaransa umebaini kuwa dawa ambayo imekuwa ikitumiwa kuwatibu wagonjwa wa maradhi ya kifafa, zinaweza pia kuathiri afya za watoto wachanga iwapo...

Tanzania Stars Football Club,Klabu mpya watanzania nchini China

Na Mwandishi Wetu, China Kwa miaka ya hivi karibuni, ulimwengu wa soka umeshuhudia mapinduzi makubwa yaliyoletwa na uwekezaji wa hali ya juu wa  fedha nyingi ...

Abdi Banda aachiwa huru baada ya kumpiga ngumi nahodha wa Kagera Sugar

BEKI wa Simba aliyesimamishwa na kamati ya masaa 72 kucheza ligi kuu kwa kosa la kumpiga ngumi kiungo wa Kagera Sugar George Kavilla Katika...

Rashford aipeleka Man Utd nusu fainali Ulaya

Mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford (katikati) akipongezwa na wachezaji wenzake, Anthony Martial na Michael Carrick baada ya kufunga bao la ushindi dakika ya...
video

Aslay- Angekuona

https://youtu.be/qyVbxUW_aXY

Kenyatta awatahadharisha wanaovuruga amani

Wagombea watakaozusha ghasia kwenye mchujo wa chama cha Jubilee hawataruhusiwa kuwania viti mbalimbali chamani. Rais Uhuru Kenyatta amesema pia sheria itazingatiwa bila upendelea kwa...

Soma hii muhimu Mnoo

JEURI,KIBURI na HATMA YA DUNIA. Ubayana ni kuwa Bomu moja la Juu kabisa la Nyuklia toka kwa Mmarekani likitua Sehemu linaweza Kuua Watu 1,500,000 (...

Mambo 40 yanayopelekea kuvunjika kwa ndoa au Mahusiano

Mambo 40 yanayopelekea kuvunjika kwa mahusiano ya ndoa. 1. Kutokuwa na mawasiliano ya karibu na mwenzi wako. 2. Kutojali maumivu ya mwenzi wako. 3. Ubishi usiokuwa na...

Serena Williams aweka wazi uja uzito wake

New York, Marekani Serena Williams ametumia mtandao wa Snapchat kuiambia dunia kuwa ni mwenye ujauzito wa wiki 20. Nyota huyo wa tenisi Marekani amekuwa katika mahusiano...

Samatta kuiongoza Genk leo

Baada ya kukubali kipigo cha mabao 3 kwa 2 ugenini nchini Hispania, leo Mbwana Samatta ataiongoza Genk kujaribu kupindua matokeo nyumbani kwao Luminus Arena uwanja...

Hivi karibuni ukata basi Jangwani

Timu ya  Yanga SC ambayo Kwa sasa haipo vizuri kifedha baada ya mwenyekiti Wao ambaye alikuwa mfadhili kupata matatizo na kutokuwa karibu na timu...

Misri: Mshukiwa wa shambulio Misri ajisalimisha

Mshukiwa mmoja aliyekuwa anasakwa kwa kuhusika na mashambulio ya mabomu katika makanisa nchini Misri katika miji ya Tanta na Alexandria amejisalimisha kwa polisi, Shirika...

Russia yatumia kura ya veto kupinga taarifa ya kulaani jaribio la kombora la Korea...

Russia imetumia kura yake ya turufu kuzuia kupitishwa taarifa iliyopendekezwa na Marekani katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kulaani majaribio ya makombora...