30 wahofiwa kufa wakifuatilia mtanange wa Manchester United na RSC Anderlecht

Zaidi ya mashabiki 30 wa soka nchini Nigeria wanahofiwa kufa na wengine wengi kujeruhiwa baada ya kibanda walichokuwa wakikitumia kufuatilia mtanange wa Europa Ligi...

Umewahi kujiuliza siti ipi ni hatari zaidi wakati wa ajali ?

Watu wengi wanaona wakati ajali barabarani inapotokea, abiria wanaokaa kando ya dereva wanakabiliwa na hatari kubwa zaidi na abiria wanaokaa nyuma ni salama zaidi....

Coutihno : Natamani kucheza na Niyonzima na Kamusoko

Kiungo mshambuliaji wa zamani wa Yanga Mbrazili, Andrey Coutihno ambaye hivi sasa anachezea Nongbua Pitchaya FC ya Thailand, amesema bado ana ndoto za kurejea...

Majibu ya Madee kuhusu binti yake kutojiunga Instaram

Star anayetamba na ngoma ya #hela Madee Ali amesema maisha yake binafsi hayahusiani na mitandao ya kijamii na ndiyo sababu ya kugoma kumfungulia mtoto...

Master Card mpya kutumia harufu ya vidole

MARA zote imekuwa kawaida mtu anapotumia kadi yake ya kuchukua fedha benki, umakini wake unakuwa kwenye kuficha alama yake ya siri, kwani ndiyo silaha...

Afisa Polisi atia doa uwanja wa ndege wa Los Angeles

Afisa mmoja wa Polisi wa California aliyekuwa mapumzikoni, alifaulu kupita Uwanja wa Ndege wa Los Angeles na bunduki aliyokuwa ameficha katika mkoba wake wa...

Benki ya Dunia ina matumaini na ustawi wa kiuchumi Afrika

Benki ya dunia inasema kasi ya ukuaji wa uchumi barani Afrika inaridhisha mwaka huu ikilinganishwa na mwaka jana ambapo uchumi wa bara hilo uliporomoka...

Yanga kushuka dimbani kesho April 22, 2017

Mchezo wa Robo Fainali ya Nne ya Kombe la Shirikisho la Azam (Azam Sports Federation Cup 2016/2017), kati ya Young Africans na Tanzania Prisons...

GGM: Kwa Pamoja tuungane kutokomeza Maambukizi ya UKIMWI Nchini

Wito umetolewa kwa wadau Mbali mbali kushirikiana katika mapambano dhidi ya maambukuzi ya ugonjwa wa ukimwi kwa kuungana kwa pamoja katika kampeni ya kili...

Eden Hazard : Sina ugomvi na Mourinho

Tangu Kocha mtata Jose Mourinho aondoke Chelsea yamekuwa yakisemwa mengi, lakini ugomvi na wachezaji wakubwa wa Chelsea inaelezwa kama moja ya sababu ya Mourinho...

Nay wa Mitego afunguka utata wa ‘post’ zake

Mkali wa Hip Hop anayetamba kwa sasa na ngoma ya #Wapo Emmanuel Elibariki  maarufu kama Nay wa Mitego amejitetea kuwa watu wasihusishe vitu anavyoweka...

Rais wa zamani Afrika Kusini ampinga Jacob Zuma

Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Kgalema Motlanthe, amesema hana uhakika iwapo atakiunga mkono chama tawala cha African National Congress (ANC) kinachoongozwa na Rais...

Mwili wa Dk. Macha waagwa rasmi bungeni leo

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo ameungana na wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum...

Hii Hapa Droo ya Michuano ya UEFA kwa Ligi ya Mabingwa..!!!

Droo ya Nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa imekamilika na Real Madrid atakutana na Atletico Madrid katika mechi ya kwanza ya hatua hiyo. Nusu fainali...

TFF Yampeleka Hajji Manara Kamati Ya Maadili

Kwa mujibu wa Katiba ya Shirikisho la soka Tanzania (TFF), kila mwanafamilia wa mpira wa miguu nchini analazimika kuheshimu na kufuata kanuni za maadili...