Nikki wa Pili : Wasanii wa Bongo Movie wanaishi ‘Ki Bongo Flava’

Msanii wa hip hop kutoka Weusi, Nikki wa Pili, ametia neno katika sakata linaloendelea la kupigwa marufuku kwa filamu za nje kwa madai zinaingizwa...

Hamorapa : Siwezi kufanya kazi na Harmonize

Sahau kabisa suala la kuwasikia Harmorapa na Harmonize katika wimbo mmoja. Japo wawili hao wanatokea upande wa Kusini mwa Tanzania, lakini wameonekana kutopikika katika chungu...

Mbappe kiboko ya Ronaldo na Messi

Mbappe, Mbappe, Mbappe ndio kila kona watu wanataja jina hilo na kwakweli amekuwa tishio haswa. Leo tuzidi kuona mabalaa ya bwanamdogo huyu aliyoyafanya kuliko...

Lilivyofanikiwa jeshi la Syria licha ya mashambulizi ya kiadui ya Marekani

Licha ya Marekani kufanya shambulizi la makombora dhidi ya kambi ya kijeshi ya Shayrat ya jeshi la Syria hatua ambayo inaonesha wazi uungaji mkono...

Waziri Mkuu Akataa Polisi wa Kimataifa Kuchunguza Alipo Ben Saanane

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amekataa kuitwa kwa kikosi cha upelelezi cha Polisi wa Uingereza kuja kuchunguza tukio la kupotea kwa Ben Sanane ambaye ni...

Yusuph Mlela aomba pambano la ngumi na Nay wa Mitego

Msanii wa filamu nchini Yusuph Mlela aamemshutumu rapa Nay Wa Mitego kwa kile anachodai kuwa msanii huyo anapotosha jamii juu ya maandamano waliofanya baadhi...

Ndoto za Samatta kukutana na Manchester United kwenye Europa zazimwa

Ndoto za Mbwana Samata kusonga mbele zaidi katika michuano ya Europa imekatishwa na klabu ya Celta Vigo baada ya timu yake ya Genk kulazimishwa...

Ommy Dimpoz: Sijapotea

MWANAMUZIKI Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ ametoa povu kufuatia madai kuwa, hivi sasa  kapotezwa na vijana wadogo wanaolazimisha ‘kuvaa viatu vyake’. Akipiga stori na Showbiz, Dimpoz...

Mwanasheria Mkuu : Uzoefu wa Mawaziri ni wa kasi kubwa

MWANASHERIA Mkuu wa Serikali, George Masaju ametetea uzoefu wa viongozi katika serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais, John Magufuli, tofauti na hoja...

Maandamano yaningia siku ya pili Venezuela

Polisi katika mji mkuu wa Venezuela, Caracas,wameendela kutumia mabomu ya machozi na risasi za mpira kuwazuaia waandamanaji waliongia siku wakipinga serikali ya Rais Nicolas...

Barca yaendelea kugomewa kumtumia Neymar El Clasico

Barcelona,Hispania. Matarajio ya Barcelona kutaka kumtumia Neymar kwenye mchezo wake wa wikendi hii wa ligi ya La Liga dhidi ya Real Madrid maarufu kama El...

Polisi auawa kwa risasi mjini Paris

Polisi mmoja ameuawa kwa kushambuliwa na risasi mjini Paris nchini Ufaransa na wengine wawili wamejeruhiwa vibaya baada ya mtu mmoja mwenye silaha kulifyatulia risasi...

Amwagiwa tindikali kisa mapenzi

MATUKIO yanayohusiana na mapenzi yameendelea kuwa tishio nchini baada ya mwanamke mmoja, Helen John (25) kumwagiwa tindikali na mpenzi wake na kumfanya jicho lake...

Mrema: JPM niruhusu kutoa wafungwa wafichue wauaji

MWENYEKITI wa Bodi ya Parole, Agustino Mrema, amemwomba Rais John Magufuli amruhusu kutoa wafungwa wenye sifa ya kupata msamaha kutoka bodi hiyo ili wamsadie...