Mwanaume aliyefanya mauaji huku Akionyesha Live Marafiki zake Kupitia Facebook asakwa

Steve Stephens muuaji anayesakwa Marekani Polisi katika jimbo la Ohio nchini Marekani wanamtafuta mtu anayedaiwa kufanya mauaji,huku akionyesha moja kwa moja mauaji hayo kupitia mtandao...

Arsenal kuvaana na Middlesbrough hii leo

Arsenal kuvaana na Middlesbrough hii leo Leo Arsenal wanacheza dhidi ya Middlesbrough ambao wataongezewa nguvu na kurejea kwa Captain George Friend ambaye anatokea katika majeruhi...

Marekani yaionya Korea Kaskazini

Herbert Raymond McMaster aionya Korea Kaskazini Mshauri wa Rais Donald Trump wa masuala ya usalama, Herbert Raymond McMaster amesema makubaliano yanayojitokeza dhidi ya tabia ya...

MAGAZETI YA LEO 17 / 4 / 2017

MAGAZETI YA LEO 17 / 4 / 2017

Rais Magufuli Aagiza TCU kuacha kuchagulia vyuo wanafunzi

Rais John Magufuli ameiagiza Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) kutowachagulia vyuo wanafunzi wa elimu ya juu na kuwaacha wanafunzi hao kuchagua vyuo wanavyovitaka...

Kama Unabomoa Misingi Hi, Hutaweza Kufanikiwa Tena

Tumia kile ulichonacho kwa uhakika na vizuri kabisa. Acha kujidanganya kwamba unataka mafanikio makubwa wakati hata ile misingi ya kutengeneza mafanikio makubwa unaiharibu hovyo...

Ufugaji Bora Wa Sungura

UTANGULIZI Kabla hujaamua kufuga sungura hakikisha ya kwamba umejitoa na una muda wa kuwahudumia wanyama waha, ufugaji wao si rahisi kama vile ukifuga paka au...

Kuna wakati unahitaji mambo mengi ya kuyafahamu ili uweze kufanikiwa kimaisha. Hivyo kwa kila jambo ambalo unataka likuletee mafanikio ni lazima ujue ni kwa...

Hizi ndizo Sababu Za Uke Kutoa Harufu Mbaya

Ni matumaini nyote mnaendelea vyema, nami alhamdulillah ala kul Hali naendelea vyema Leo naona ni bora tukazungumzia tatizo la kutokwa na harufu mbaya ukeni maana...

Sheria :Zitambue haki zako unapokamatwa na Polisi

SIO kila anayekamtwa na Jeshi la Polisi sio kwamba ni muhalifu  ni raia mwema tu ambaye ameshukiwa na polisi ambao wapo kwenye uchunguzi wao...

Vituo polisi vyafungwa Z’bar

HAMDAN OMAR MAKAME, JESHI la Polisi Zanzibar limelazimika kufunga vituo vidogo katika Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja kutokana kukabiliwa na upungufu wa askari visiwani hapo. Akizungumza...

AliKiba, Ruby Wazua Maswali

DAR ES SALAAM: Ukaribu wa sexy lady wa Bongo Fleva, Hellen George ‘Ruby’ na MbongoFleva, Ali Salehe Kiba ‘King Kiba’, unadaiwa kuzua maswali kwa...

Nape na wenzie waonywa CCM

HATIMAYE Chama Cha Mpainduzi (CCM), kimeamua kufunguka na kutoa onyo kuhusiana na kauli za baadhi ya makada wake walioenguliwa na Rais John Magufuli katika...

Mbunge wa Chadema Alazwa Ghafla Muhimbili, Afanyiwa Upasuaji

Wakuu salaam. Natumai tupo wazima. Kama inavyozunguka mitandaoni kuhusu kulazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa Mhe. John Heche, taarifa hiyo ni ya kweli. Mhe....

Hofu ya ugaidi yaingia ligi kuu Uingereza

Wakati wa mchezo kati ya Borussia Dortmjnd na Monaco kulitokea mlipuko karibia na basi la timu ya Dortmund, mlipuko huo haukutajwa haswa ni nini...